NEWS

Download and Listen to a New Track From Solo Thang

Hello fans you can just go to this link and support the Tanzanian Hip Hop Artist Solo Thang by buying the Song on this...

—————

Arusha wafunguka na Epiq BSS

  Usaili wa shindano la EBSS 2012 umeendelea leo jijini Arusha ambapo machizi kibao wamejitokeza na kufunguka kujaribu bahati zao za kuiwakilisha Arusha mwaka huu. Kama kawaida jiji hilo...

—————

Albam yake Kanye West iko mbioni kutoka

  Ni ngumu kuimagine, lakini habari ni kwamba mwaka huu mashabiki wa Kanye  West watapata albam mbili kutoka kwake. Pamoja na albam ya G.O.O.D. Music, Cruel Summer, albam ya Yeezy...

—————

BBA: Mkenya (Dj Joe Mfalme) na Mnaijeria (Davido) kukinukisha kesho

  Dj maarufu wa nchini Kenya anayefanya mambo yake kupitia Capital Fm, Dj Joe Mfalme anatarajia kuwarusha wapenda burudani watakaohudhuria live eviction show,kesho. Dj Mfalme atakuwa...

—————

MONICA F.t NISHER-SITAOGOPA

Check out new music video from new talent ''MONICA''. The new era artist is an upcoming singer from Arusha-Tanzania. She just brought new style in Gospel music genre. The audio and video was...

—————

Jason Derulo kumfanyia ‘birthday party’ Ambwene Yesaya

  Jana ilikuwa ni siku ya kuzaliwa ya Ambwene Yesaya aka AY ambapo ametimiza umri wa miaka 30. East Africa Radio walimtembelea nyumbani kwake ambapo alikuwa amealika washkaji na ndugu kula...

—————

Tarrus Riley kupiga show Nairobi, Kenya

  Mwanamuziki wa reggae aishiye Marekani lakini mwenye asili ya Jamaica, Tarrus Riley anatarajiwa kupiga show nchini Kenya mwezi wa August. Hiyo itakuwa ni ziara ya kwanza barani Africa na...

—————

Jay Mo kuwashirikisha Ay na Mr. Blue kwenye CBM

  Rapper Jumanne Mchopanga aka Jay Mo ameteam up na P-Funk Majani kumfanyia ngoma mpya atakayowashirikisha Ambwene Yesaya aka AY na Herry Sameer aka Mr. Blue kwenye ngoma iitwayo...

—————

Video ya Addicted ya Hussein Machozi kutoka wiki hii

  Mwanamuziki wa Tanzania ambaye mara nyingi anaishi nchini Kenya Hussein Machozi ataachia video ya wimbo wake mpya Addicted wiki hii. Video hiyo imefanyika nchini humo na kampuni ya Ogopa...

—————

Soggy Doggy ashangaa namna watanzania wengi walivyo maskini wa kutupa

  Baada ya kukaa kwa muda mrefu katika mazingira ya mjini hususan jijini Dar es Salaam, rapper mkongwe nchini Tanzinia, Anselm Ngaiza aka Soggy Doggy, amejionea jinsi upande mwingine wa...

—————

Rihanna atajwa ‘Mwanamke wa Mwaka’ wa jarida la Vogue

  Mwanadada Rihanna aka RiRi ametajwa na jarida la Vogue la nchini Italia kama Mwanamke wa Mwaka. Mrembo huyo amewapiga fimbo mastaa wengine wakubwa duniani katika tuzo hiyo kutoka kwa...

—————