NEWS

Big Sean na Meek Mill waizungumzia Diss ya Breezy kwa Drake

Saa kadhaa baada ya Chris Brown kuachia ngoma ya kumdiss Drake kwenye internet kwa freestyle katika track ya The Game iitwayo "I Don't Like", rappers Big Sean na Meek Mill wametoa maoni...

—————

Maandalizi ya Redd's Miss Ubungo yazidi kupamba moto

Mashindano ya Urembo ya Redd’s Miss Tanzania 2012 yanaendelea kwa kasi kubwa na kwa wiki hii kutakuwa na shindano moja kubwa hapa jijini Dar es salaam ambapo kituo cha Ubungo yaani “REDD’S MISS...

—————

50 Cent kupiga show Uganda mwezi September

Rapper Curtis Jackson aka 50 cent ambaye juzi alipata ajali ya gari nchini Marekani, anatarajiwa kupiga show mjini Kampala, Uganda, mwezi September mwaka huu. Rapper huyo atatumbuiza katika...

—————

Nocoz Ft BouNako-KAZI

Nocoz are back again, this time wakimshrikisha mtu mzima BouNako toka N2N- Arachuga. Wakiwa wamekaza ile mbaya ndani ya beat ya Samtimber na vocals/mixing kasimamia Defxro pande za NOIZMAKAH...

—————

Jan B kufanya collabo na msanii wa kimataifa Sayen

Mwanamuziki wa Tanzania aishie nchini Sweden Jan B anatarajia kufanya ngoma na mwanamuziki wa kimataifa mwenye asili ya kilatin aishiye Sweden, Sayen. Jan B amesema jana jioni alimaliza...

—————

VIDEO MPYA YA AJ UBAO & LINAH SANGA ISHAPAKULIWA BADO KULIWA..

Nyepesi zimelifikia dawati la Janboline kwamba wapenzi wa muziki wa kizazi kipya wakae mkao wa kutupia matonge ya burudani machoni kwani usiku wa jumapili ya tarehe 24/6 ndani ya Maisha Club...

—————

Izzo B azungumzia kuporwa demu, kutishiwa kuuliwa na kesi ya baba yake

  Baada ya kutoka kwa wimbo wake uitwao ‘Mwaka Jana’ maswali mengi yalizuka kutokana na mambo kadhaa aliyoyazungumza kwenye ngoma hiyo. Mambo matatu makubwa ambayo wengi walipenda wapate...

—————

Gari mpya ya Diamond!!

Baada ya kupiga show kibao na ambazo ofcourse zinaendelea za six figures tu, Diamond amedondosha mkoko mpya! Si gari ya kushtua sana lakini ukitaka kuinunua ni lazima ufunge...

—————

One Incredible Na Punch za Kikristu

Cheki vile One The Incredible anavyogonga punch like no body Bussines Music & Videos

—————

Young Tanzanian Rapper''DOGO JANJA'' out from TIPTOP CONNECTION

Tanzanian young Rapper DOGO JANJA out from TIP TOP CONNECTION music label. According to the Swahili rapper himself; ''nothing I'm gaining in this crew,they were controlling big percentage of...

—————

MARLEY Ft. BELLE 9- ''SINA CHA KUPOTEZA''

  You can also call him Joseph George Marley, or simply Marley ,Is young & upcoming Swahili rapper, doing hip hop and some sorts of reggae. Meanwhile is a student at Mzumbe...

—————