NEWS

New HIT-Nakupenda Sana by Marley

Listen to brand new HIT from MARLEY. Ngoma inakwenda kwa jina la NAKUPENDA SANA. Ni sweet Raggae iliyopikwa pande za Dirty Mode Records na producer Triss. Pini hili ni moja kati ya ngoma kali za...

—————

New song NILIMUONA BONGO-Pewa Abagenge

SONG - Nilimuona Bongo ARTISTE - Pewa Abagenge feat Kidis LABEL - Audio Kusini"Nilimuona Bongo" is a swahili word meaning "i saw her in Tanzania" This is a love gone sour song about Njeri (my...

—————

LEOPARDBOY EP in APRIL-LIL CRISZZY

East African young rapper based in Australia LIL CRISZZY will be dropping his EP "LEOPARD BOY"  in APRIL 2013. Hili ndo cover lake alilopost rapper huyo mwenye swag za hatari na anayependwa sana...

—————

OFFER YA KUTENGEZA MUSIC VIDEO

Kampuni za filamu nchini Tanzania TOUCH OF ART VISION PRO & CREATIVEMINDSTZ wanakupa offer ya mwezi March na April kwa wale wote wanaotaka kufanya video za muziki kwa T.SH 300,000/- tuu. Pia...

—————

NEY WAMITEGO feat DIAMOND

Isikilize ngoma mpya ya NEY WAMITEGO MUZIKI GANI akiwa amemshirikisha Diamond Platimumz: www.tigow.com/mp3/ney_wamitego_ft_diamond.html   LYRICS SONG: MUZIKI GANI ARTIST: NEY WAMITEGO FEAT...

—————

New Music Nitaimba Nae-Mani Mani

Msanii chipukizi toka Arusha mwenye shughuli zake nyingi Monduli "Mani Mani" aja na dancehall "Nitaimba nae" download and support Tz music :www.hulkshare.com/t2cawfyp1ngg //JanB Multimedia

—————

New song We Mrembo-Gewe

Msanii chipukizi toka Arusha "Gewe" anakuja na "We Mrembo" club Banger liloundwa pande za Noizmekah arusha,Sikiliza na endelea kusupport muziki wa nyumbani: www.hulkshare.com/8svsbdkij2ps //JanB...

—————

Happy B'day Mwana FA

JanBonline tunakutakia kheri ya siku yako ya kuzaliwa rapper FA. Endeleza harakati zako za mziki wa Bongo.  

—————

T.I.D Apewa Kichapo kikali na BABUU WA KITAA

Mwanamuziki nyota wa Bongo flava ambaye kwa sasa amejikita kwenye muziki wa dansi, Khalid Mohammed ‘TID’, wiki iliyopita alionja joto ya jiwe baada ya kudundwa hadi kutolewa nundu puani na mtangazaji...

—————

New Music Video-Uwezo Mia Mia SOLO THANG

Angalia kichupa kipyaa cha rapper mkali kutoka Tanzania Solo Thang aka Ulamaa feat Zilla UWEZO MIA MIA. www.youtube.com/watch?v=xOTQPD-p12g&feature=youtu.be

—————

Tuzirudi-Keneh feat Boywonda

Msanii Keneh amshirikisha Boywonda toka FBG katika pini jipya kabisa "TUZIRUDI" ikiwa ni Afropop kwa wapenda Clubbing kote duniani, Wimbo huu ni release ya pili ya kwake mwanadada huyu toka pande za...

—————