NEWS

JanB ft Emmie-Playa Haters on Store

  Playa Haters-JanB ft Swedish RnB singer ''Emmie'' now available on iTune stores worldwide; Download here for only 1 US...

—————

Follow JanB on Jango Music Network

Be a FAN of JanB on Jango internet Radio ''Jango Music Network''.Follow the link and Become a fan of JanB and click the facebook like button too. Thank you for your support/ Asante sana...

—————

TANZANISKA RIKSFÖRBUNDET

CHAMA CHA WATANZANIA SWEDEN (TANZANISKA RIKSFÖRBUNDET) Kwa Watanzania pamoja na Marafiki! Kamati ya muda iliyoteuliwa Ubalozini kwa nia ya kuanzisha chama cha watanzania Sweden inawakaribisha...

—————

Dj Choka- ''Pamoja We Can''

Brand new Collabo from DJ Choka ''Pamoja We Can'' ft Leo, Mabeste, Bagdad, Cyrill, Shetta, Noorah, Young D, Bella & Deddy.  Tanzania Bongo Flavor stand up. Listen here and...

—————

Kilimanjaro Tanzania Music Awards 2012

Kilimanjaro Tanzania Music Awards 2012
Fatilia kuhusu tuzo kubwa za muziki nchini Tanzania ''Kilimanjaro Music Awards'' ambapo mwaka huu zimefanyika tarehe 14-04-12 katika kumbi za Mlimani city jijini Dar es Salaam. Fatilia matukio...

—————

New Video:Kamili Gado-Prof Jay

New Video:Kamili Gado-Prof Jay
Check out Tanzania Heavy Weight Mc ''Prof Jay'' New Video- Kamili Gado here 

—————

https://soundcloud.com/janbkiwia/janb-pretty-girl-ft-obi

https://soundcloud.com/janbkiwia/janb-pretty-girl-ft-obi
Hello my Fans all over the world, Now you can LISTEN a Catching Swahili / English HIT ''PRETTY GIRL'' from the upcoming international artists-JanB and Obi Elinami. The audio and a video will be on...

—————

New tracks to Bid a farewell to Kanumba ''The Great''

New tracks to Bid a farewell to Kanumba ''The Great''
Zup peeps, Soon check out new songs released as a farewell bid to the late Bongo Movie's icon ''Steven Kanumba''. Will be available here News. Rais Jakaya Kikwete afunguka kuhusu sanaa...

—————

NAFASI 2 KWENDA MAREKANI KWA WATANZANIA WENYE VIPAJI VYA KUIMBA/KURAP KUTOKA KWA ALEX KAJUMULO

NAFASI 2 KWENDA MAREKANI KWA WATANZANIA WENYE VIPAJI VYA KUIMBA/KURAP KUTOKA KWA ALEX KAJUMULO
Tangazo kwa Watanzania wenye vipaji katika tasnia ya muziki '' Nitatoa nafasi mbili kwa waimbaji kati ya miaka 18-25, wa kike na kiume. Wakiume anayeweza kuimba na kurap na wakike anayeweza kuimba...

—————

BREAKING NEWSss: R.I.P STEVEN KANUMBA (Bongo Movie Star)

BREAKING NEWSss: R.I.P STEVEN KANUMBA (Bongo Movie Star)
Habari za ghafla zilizotufikia mida hii kutoka kwa vyanzo mbalimbali vya habari nchini Tanzania; ni kwamba, Gwiji la filamu nchini humo Steven Kanumba katutoka, hatunae tena!! Mpaka saivi maiti...

—————

Tanzania Diaspora Scandinavia (TANZANISKA RIKSFÖRBUNDET) April 28th 2012

Tanzania Diaspora Scandinavia (TANZANISKA RIKSFÖRBUNDET) April 28th 2012
  CHAMA CHA WATANZANIA SWEDEN (TANZANISKA RIKSFÖRBUNDET)   Kina wakaribisha Watanzania na Marafiki wote kwenye sherehe ya ufunguzi wa chama cha watanzania. Chama chetu kitafunguliwa...

—————