NEWS

Mzuka Magazine laingia mtaani likiwa na Ommy Dimpoz kwenye cover

Jarida la kila mwezi la Mzuka limeingia mtaani. Jarida hilo la burudani linaongozwa na cover story ya Ommy Dimpoz aliyefunguka kuhusiana na masuala kibao yakiwemo muziki, maisha na mapenzi. Mzuka...

—————

Ney WaMitego amuita Nikki Mbishi Shoga

Rapper wa Tanzania Ney wa Mitego afunguka na kuzungumzia issue kibao ikiwamo bifu zake na baadhi ya wasanii wenzake na anavyowaimba watu. Anamchukulia Nikki Mbishi kutoka Tamaduni Music kama shoga...

—————

Serengeti, Mlima Kilimanjaro na Ngorongoro Crater zashinda shindano la maajabu saba ya dunia

Mbuga ya wanyama ya SERENGETI imeshika nafasi ya kwanza katika shindano la maajabu saba ya dunia ya Afrika. Pamoja na Serengeti, mlima Kilimanjaro na Ngorongoro Crater nazo zimeshinda shindano...

—————

TMK Wanaume Halisi yafiwa na msanii wake

Msanii wa kundi la Wanaume Halisi linaloongozwa na Juma Naturem Baraka Masale Sekela aka BK amefariki dunia leo asubuhi. Kwa mujibu wa blog ya Sam Misago wa East Africa Radio, taarifa hizo zimetolewa...

—————

Lulu apanga kuongea na waandishi wa habari

Baada ya kutoka nje kwa dhamana kwa kesi ya kuua bila kukusudia, muigizaji wa filamu Elizabeth Michael aka Lulu, anatarajia kuongea na waandishi wa habari hivi karibuni. Kwa mujibu wa muigizaji...

—————

Banky W asaini dili la Naira milioni 100 na Samsung

Muimbaji wa R&B nchini Nigeria Banky W amekula shavu la kusaini mkataba wa Naira milioni 100 (zaidi ya shilingi bilioni moja za Tanzania) na kampuni ya Samsung. Banky na staa wa Nollywood, Kate...

—————

Radio na Weasel wapanga kuachia albam nne kila mwaka!

Ulishawahi kujiuliza kwanini kila siku Radio na Weasel wa Uganda wana nyimbo mpya? Kwao linawezekana kwasababu wana stock ya nyimbo nyingi mpaka wanashindwa wazipeleke wapi na ndio maana wamepanga...

—————

Aika na Nah Reel wajitoa kwenye kundi la Pahone

Producer maarufu nchini na member wa kundi la Pahone na Aika wamejitoa kwenye kundi hilo. Akiongea na East Africa Radio, Aika amesema wamejitoa kwenye kundi hilo kutokana na kushindwa kuelewana kama...

—————

Cheche za TID zaifikia website ya Big Brother Africa!!

Katika kile kinachoonekana kusambaa kwa habari ya TID kuwa na nia ya kuiwakilisha Tanzania kwenye shindano la Big Brother Africa mwaka huu, moja ya website za shindano limeandika habari inayomhusu...

—————

New Music: Feza Kessy - Amani ya Moyo

Hii ni ngoma mpya ya mrembo aliyewahi kuwa Miss Dar City Centre, Feza Kessy ambaye kwa sasa yupo chini ya kampuni ya AY, Unity Entertainment. Ngoma hii yenye mahadhi ya zouk imetengenezwa na mpishi...

—————

Waislamu na Wakristu wadundana Geita, kisa ni baada ya wakristu kuanzisha machinjio yao

Source: Jamii Forums Habari zilizopo ni kuwa leo Geita mapigano yametokea kati ya Waislamu na Wakristo (particularly protestants wa AIC). Na hii ni baada ya Wachungaji wa AIC kutenga eneo la...

—————